HOYO-MiX 앨범 : 원신-불꽃이 뒤얽히는 벌판 (Original Game Soundtrack)
Sifu moto ardhi yetu
Sifu mababu wetu
Tukipotea njia
Tukipotea njia
Majina yenu tukufu
Tuongoze njia
Kwenyepo njia sawa
Watuongoze mbele hatua
Kutoka gizani kuingia mwangani
Juu ya giza jenga ushinzi
Juu ya mwangani mwisho
Tumaini, nguvu, mwisho